Jumatatu, 17 Agosti 2015

FAHAMU YANAYO MPASA MONGOZAJI WA FILAM. (DIRECTOR) ep1

yMtunzi WA story baada Ya kuandika nakumpa mwandishi  WA Script na kuandika Script,producer apewe  hiyo ikiwa tayari. Baada Ya hapo yakupasa kumtafuta MONGOZAJI Mzuri kwa ajiri Ya production. Director  baada YA Kuelewa script utaisoma Mara Ya Kwanza Mara YA pili na Mara ya Tatu.Mara YA nne utalazimika kusoma  katikati YA Mstari YA Script hiyo Ili Kujua muda, matukio, matamshi YA mambo.

AINA YA WA ONGOZAJI
  Kuna Aina Mbili Za waongozaji
(a) Democratic Director
-director Huyu anakubari kushauriwa katika uongozaji wake

(b) Dictetar director
-director Huyu hataki ushauri katika uongozaji wake

Mwongozaj baada ya kusoma script na kuchambua na kujua vizur lengo la mwandishi kwenye  film hiyo analazimika kutumia usemi huu.         CHELEWA KUINGIA, WAHI KUFIKA        ENTER LATE, LATE  EARLY, = usemi huu maana yake kuu inamtaka mwongozaji ( Director) kuziona scene ambazo mwandishi wa script ameziweka humo lakini hazina umuhimu hata kama hazikuwepo aziathir  na kupoteza maana ya filam hiyo vilevile mwongozaj huyo anatakiwa kuzichambua tena scene zilizo bakia inawezekana baadhi ya scene zilizo baki anaweza kuziondoa na maana ya filam ikabaki Kama ilivyo kusudiwa.            

MWIGIZAJI NA MWONGOZAJI
ACTER & DIRECTOR
Mwongozaji ( Director) anatakiwa kumwongoza mwigizaji, kitakachofanywa na mwigizaj lazima kiwe na maana katika scene husika
Hapa ndipo mwongozaji ( Director )
anatakiwa kujua kuna waigizaji  wa aina mbili ili aweze kuandaa ubunifu  katika kuwaongoza  waigizaji pale itakapobidi.

Maoni 1 :