Jumanne, 4 Agosti 2015

MBINU ZA UTUNGAJI WA TAMTHILIA

Kabra ya kuangalia mbinu za utungaji wa Tamthilia tuangalie kwanza dhima au kazi za tamthiliya
Tamthiliya ni aina ya kazi ya sanaa yenye kubwa kwa jamii zifuatazo ni dhima za tamthiliya kwa ufupi

(a) huburudisha, kazi moja wapo ya tamthiliya ni kuburudisha Mimi binafsi sina shaka na hili naamini wasanii wengi wanaweza kuifanya

(b) Huelimisha jamii kuhusu mambo mbali mbali hili ni swala la msingi jamii inapaswa kuelimishwa kwa kupitia sanaa hii ya tamthiliya vile vile hukosoa jamii kwa mfano kukosoa Tabia mbaya mbaya kama vile ulevi, wizi na rushwa

(C) Nichachu ya mabadiliko ,kwani huonyesha maisha name tabia zinazofaavkuigwa na jamii kwa mfano uaminifu uzalendo utii name uoendo
Vile vile tamthiliya

(D)Ni chanzo cha ajira kwa vijana name watu mbali mbali wanao igiza
Hizo ni baadhi ya kazi za tamthiliya
Tuangalie sasa

           MBINU ZA UTUNGAJI WA TAMTHILIYA
Ili kuweza kutunga tamthiliya kuna mambo kadhaa ya kuzingatia . kama vile

(i) Chagua dhamira au jambo la kuandika kwamaana nyingine ni wazo kuhuu LA tamthiliya jambo hili ni la kwanza kabla ya kuanza kuandika

(ii) Pang a ploti au msuko wa matukio
Ploti ni mfululizo wa visa na matukio ndani ya tamthiliya hivyo unapotaka kuandaa tamthilia inakupasa kuamua utangulizi uhusu nini mgongoro uwe kati ya pande zipi kilele cha mgogoro kiwe nini na hitimisho au suluhisho la mgogoro liwe nini.

Buni wahusika watakao endana na kile unacho andika. Kumbuka kua wahusika kuna kua na wahusika WA aina mbili
            -Wahusika wakuu
            -wahusika WA dogo
Pia wahusika wakuu ndio wanao peleka igizo au tamthiliya mbele kutokana na vitendo ulivyo watengenezea kwa mfano kama muhusika wako anacheza kama mtu  msomi basi tunategemea anatumia lugha fasaha

( iii) Chagua Madhari yanayofaa kwaajili ya wahusika na jambo unalo andika.

(iv) Tumia mtindo wa majibizano au mazungumzo kati ya wahusika mfano

      Selano: sikuhizi ume badilika
                       Sanaa
     Boyseb: nime kuwa mnene sana
                     au mwembaba sana?
      Selano: hapana yani umebadilika
                      Kitabia tifauti na kipindi
                      tupo shule.
     Boyseb: selano maisha yana
                      Badirika yatupasa tuishi
                      Kulingana na nyakati

(v)Weka maelekezo ya jukwaa. Haya uwekwa mwanzo WA onyesho au katikati ya mazungumzo ya wahusika. Maelekezo ya jukwaa uandikwa kwa italiki
Kwa mfano
Ni giza. Eneo lina miti mingi na zinasikika sauti za ndege na wadudu mbali mbali.Cheche na Tamba wamejificha nyuma ya kichaka kimojawapo

Chechen: (Akiongea kwa sauti ya
                   Nimrsikia kama kijiti kimevunjika. Nadhani watakuwa wamepita upande ule kule. (anaonyesha kwa kidore upande wa mbele yao).

Tamba: (Anaongelea sikioni mwa Cheche) Ndiyo ! Naona kama kuna kitu kinapita.(anaonyesha kidole) Ona pale ! Ona pale! Ah! Hao ni wenyewe kabisa.

(Vi) Tumia lugha ya kisanii kama vile tamathali za semi Methali nahau na misemo
Pia tumia ucheshi taharuki takriri na matumizi ya taswila .

 

Maoni 7 :

  1. ni mwongozo mzuri sana huu, lakini nini kifanyike ili kusaidia watu wenye vipaji vya uandishi nikiwa mmoja kati yao, je? ziundwe taasisi zitakazo saidia kuendeleza na kusapot kazi hii ili kupata waandishi bora na mahili Tanzania au kila mwenye kipaji ajue jinsi ya kujiinua kupitia kipaji chake

    JibuFuta
  2. Kaka mimi ni mmoja wa waandishi chipukizi lkn taasisi ziingilie kati nicheki 0693364445

    JibuFuta
  3. Serikali ithamini na ione tija ya kazi hii ya twmthiliya ni nyenzo mojawapo ya kuukomboa uuma pamoja na kukuza sanaa yetu ikiwemo kukuza na lugha yetu pia

    JibuFuta
  4. Ni kaz nzuri sana naweza kuandika na kuigiza nicheki 0742139253

    JibuFuta
  5. Inapendeza sana kaka nichek no 0768271023 ili tubadilishane mawazo maana hata mimi Nina talanta kama yako

    JibuFuta